Hard Drive Imepunguza Storage

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Hard drive yangu ambayo ni main kwenye laptop yangu imepunguza storage. Zamani ilikuwa inasoma 120 gb lakini sasa hivi inasoma 75 gb.

Mwenye kujua sababu anisaidie.
 
je hujawahi kuiformat na ukaifanyia partition maana kuna wakati unaformat mashine na unafanya disk partition ile ya partition ya pili hua inajificha sana sana katika kuinstall windows 7 au 8 nijibu hilo kwaza
 
nilishawahi kuiformat, na partition zingine zipo zinaonekana
 
Angalia yawezekana una mafile yaliyojificha.

Au kuna uwezekano unamafile yaliyojiludia .
 
Unatumia operating system ipi?

Kama ni Windows 7 ilikuja na hiyo computer au uli-install baadae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…