Uzalendo umenishinda kwa kweli.Umekushinda uzalendo???
Mkiongeza moja wataishiwa nguvuWaache wapanic ivo ivo ndo dawa ya kuwapiga nyingi
Duuh hatariEeh na maombi yake atasema yamefanya kazi
Directly au indirectly???Uzalendo umenishinda kwa kweli.
Siwezi kutekeleza ilani ya ccm mimi
Hahahhahaahahah sisi kijembe chetu ameahatupiga Leo LeoKesho atawazodoa kina ndugai na wenzake na sie wote kazi tunayo
Ewaaa umeanza kujua mapoint ya kuchangaingia; taratibu taratibu tuMkiongeza moja wataishiwa nguvu
Acha kuwa na roho ya amani vitaniMimi japo nachukia kuweka siasa kwenye timu yetu lkn bado nina karoho ka uzalendo.
Hahaha hahahaEwaaa umeanza kujua mapoint ya kuchangaingia; taratibu taratibu tu
Ngoja tuone hapa lkn kuna kila dalili za kulala kwa taabu wewe leonawaaminia Kenya.
DirectlyDirectly au indirectly???
Vita ni vita muraa; muambie uyoAcha kuwa na roho ya amani vitani
Na iwe hivyoNgoja tuone hapa lkn kuna kila dalili za kulala kwa taabu wewe leo
Yeah watakaa tu leo, tukitoka hapo tnapiga Algeria tunasonga mbeleMkiongeza moja wataishiwa nguvu
Anakuwaje na roho nyepesi kiasi hichoVita ni vita muraa; muambie uyo
Computers zetu, barabara zetu, mataa yetu ya barabarani, kila kitu chetu usitumie na fanya uhamie Nairobi.Directly
Ila Mimi nimekuelewa saana yana.Na iwe hivyo