Happybirthday Daudi 1

Nashukuruni wote mlionitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa Mungu awabariki kwanza nianze na mke wangu mpendwa Angelicious we mwanamke jana umenidekeza mpaka nimejisikia raha eti natamani kila siku niwe nazaliwa ili nipate raha,Dada yangu wa ukweli 'Valentina' umekuwa mstari wa mbele katika kuadhimisha siku hii jamani zawadi zote mlizopitisha kwake nimepata amekuwa mwaminifu sana,rafiki zangu wa ukweli Sungura1980, Rich pol,kiwatengu, Excel, Mtoto halali na pesa, Viol, Mwanyasi, Utafiti, Uran dada zangu na mashemeji Bantu lady, miss nedy, Eshy m.s Shansarie, LadyFurahia,Mamndenyi,Kim nana,Chocs, Janeth1 na wengine ambao sijawataja Mungu awabariki sana
 

ubarikiwe pia mkuu
 

Asante sana Daudi1,,Mungu akubariki
 
Last edited by a moderator:
Aaaamen
Ubarikiwe

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…