Happybirthday Daudi 1

happy bday mkuu hongera sana

birthday ndo zishaanza ngoja mwezi may hapatatosha
This is u'r special day my dia friend, Mungu akupe maisha mema yaliyo jaa kheri na fanaka,pia hekima na maarifa vikaambatane nawe siku zote. Enjoy u'r fantastik day.
 
This is u'r special day my dia friend, Mungu akupe maisha mema yaliyo jaa kheri na fanaka,pia hekima na maarifa vikaambatane nawe siku zote. Enjoy u'r fantastik day.

Hongera umekapokea katoto njoo uchukue papans dada kchanga.
 
Hongera na kila la kheri katika maisha yako ya kila siku
 
Happy birthday bro. Nakutakia maisha marefu ya raha na mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…