who is that?
Asante mdogo wangu, happy valentine's kwako pia na wote wenye thamani katika maisha yako.
Happy valentine's mdogo wangu kipenzi!Happy Valentine kaka yangu kipenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] neno atii.Ni bongo tu watu huwa wanawaficha wapenzi wao kwenye mastatus huko leo watu wamefichwa na makopa alafu ndio unapendwa hivyo [emoji23][emoji23] huku ukiwa umefichwa ni bora usipostiwe tu kama siku yaleo utaficha sura nk..
[emoji23][emoji23][emoji23] ukifanyiwa hivyo jua huyo nimzushi tu hana mapenzi ya dhati na hayuko wazi kwako maana kwann akufiche sasa asikuweke wazi mbele za watu kama anakupenda kweli!
Ukweli mchungu huu.[emoji23][emoji23][emoji23] ukifanyiwa hivyo jua huyo nimzushi tu hana mapenzi ya dhati na hayuko wazi kwako maana kwann akufiche sasa asikuweke wazi mbele za watu kama anakupenda kweli!
😂 unajua mwenye chakufanya kama huu ni ukweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Kama fwala asiee.[emoji23] unajua mwenye chakufanya kama huu ni ukweli.
Sasa upostiwe ili iweje mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Ni bongo tu watu huwa wanawaficha wapenzi wao kwenye mastatus huko leo watu wamefichwa na makopa alafu ndio unapendwa hivyo [emoji23][emoji23] huku ukiwa umefichwa ni bora usipostiwe tu kama siku yaleo utaficha sura nk..
Pole sana my dear.
Dah 😥 sasa unanipostije nikiwa kilema mzee wangu 😂 wakati na nipo full bora hata usalitiwe ujue ni mshenzi tu kuliko anipost kwa kunificha kama yupo proudly na mm kwann anifiche sasa?Sasa upostiwe ili iweje mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza ukipostiwa kiwiliwili shukuru Mungu kuliko ukute maua na gift af zimeandikwa FROM BAE na wewe hukumpa
😂😂😂 kumbe na ww unapenda upuuzi kama mm loh 😊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Kama fwala asiee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipanic mzee [emoji16]Dah [emoji26] sasa unanipostije nikiwa kilema mzee wangu [emoji23] wakati na nipo full bora hata usalitiwe ujue ni mshenzi tu kuliko anipost kwa kunificha kama yupo proudly na mm kwann anifiche sasa?
😂😂😂 fumbavu kabisa ww kumbe ndio michezo unayoifanyaga ww unamposti Hamida alafu unatuficha kuhu ss tusione au leo ndio kilamtu umempost ajione peke yake 😂😂😂 najua haushindwi ww.Usipanic mzee [emoji16]
Unaweza kupostiwa full na bado akalimit views yaani ukajiona mwenyewe tu
Mie huwa namkumbuka lakini sitaki kumbukumbu ibaki, nitashindwa kufanya kazi.
Mimi nikiwa na shida ndo namkumbuka zaidi . Aisee pole piaMie huwa namkumbuka lakini sitaki kumbukumbu ibaki, nitashindwa kufanya kazi.
Asante, ila Mungu ni mwema sana.Mimi nikiwa na shida ndo namkumbuka zaidi . Aisee pole pia