3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,589
- 16,336
Kutokuelewa kwako maandiko kusikufanye useme kinyume na neno maandiko yanasema Yesu hakuwahi kutenda dhambi yoyote iweje wewe useme kinyume maana kusema aliivunja sabato ni kukiri wazi Yesu alitenda dhambi kwa kuihalifu amri yake mwenyewe amri ya nneMataifa Mimi siwajui katika muktadha huu, ila ninachojua ni kuwa wayahudi ndio waliomuua Yesu sababu mojawapo alivunja Sabato na sisi wafuasi wa Yesu hujitahidi sana kufuata nyayo zake
happy too na kesho wote tuende kanisan huwa najisikia faraja san siku ya jumamos ila nisipo enda kusali naumia moyoHappy Sabbath wapendwa
Isaya 66:23Wapi Mlipoambiwa mumwabudu Mungu siku ya Sabato?, andiko gani hilo?
Huo MWEZI MPYA mnasali wapi?Isaya 66:23
Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
Wewe unaelewaje apa [emoji848]
Ahsanta, sabato njema na kwako pia.Wadau wote JF
Let me wish you Happy Sabbath
Good night and God bless you.
Mbele za BWANAHuo MWEZI MPYA mnasali wapi?
Usiache mkuu kujihudhurisha mbele za Bwana kwa sababu yoyote ile isiyo ya msingi labda ugonjwa tu ukuzidiehappy too na kesho wote tuende kanisan huwa najisikia faraja san siku ya jumamos ila nisipo enda kusali naumia moyo
Isaya 66:23
Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
Wewe unaelewaje apa 🤔
Happy DayHappy Sabbath
Mtazamo wako ukoje juu yao kwa jinsi ulivyojifunza?Mimi ni muislam ila wazazi wangu walinipeleka kusoma ktk shule ya kisabato iliyomo mkoan Mtwara Lengo ni kujua dini ya wenzangu na kuwa na hofu ya mungu kwam mung ni wetu sote
Sent using Jamii Forums mobile app