Haya muwe na mwaka mwema wenye baraka na Mungu awaongoze kwa yote
Respect to you Blaki WomaniAsante sana
Heri ya mwaka mpya 2013
Huwa wale waliozimika wanawekwa kwenye matoroliNamimi nawatakia Mwaka mwema wanajf wote ila nisingependa kusikia
mwanajf kapakizwa kwenye GUTA kisa amelewa chakaaari.
View attachment 77780
Hahahahaaa hope Guests watasoma tu na ku smile coz sidhani kama wanaweza kujibu
Hahahahaaa unataka kusema we mshahara wako unatoka kwa mwaka mara moja eeeh?!Ndio nawatamanisha ili wawe members! Tena wasapoti JF kabisa maana wamekuwa wanachungulia chungulia mara nyingi! Usiulize kwanini mie sina chata ya kusapoti... Nasubiri mshahara wa 2013!
Hahahahaaa unataka kusema we mshahara wako unatoka kwa mwaka mara moja eeeh?!