Happy new year 2022, kwa wapendwa wangu wa jf, MnazarethGlennKocha MkuuCathelinDeepPond asanteni kwa kunirahisishia maisha humu ndani, mmefanya niendelee kuifurahia jf pasipo nyie ningeshasahau hata password ya hii ID
Ni mwaka mpya, wanaostaafu mwaka huu wanaanza kupata stress wapo walioko jela wao wanafurahi hasa wanaoachiliwa mwaka huu. Wanachuo wanaomaliza pia wanashangilia kuupokea mwaka wao wa mwisho chuoni. Je wewe unaupokea mwaka katika hali ipi?