leo nimefurahishwa sana na timu ya chelsea kuanza mwaka kwa style ya aina yake, hii inatabiri mwisho wake utakavyokuwa kama ilivyo imani ya wengi, tunawatakia kila la kheri katika kuitazama UEFA msimu ujao kama ilivyokuwa kwetu Man U.
Mwaka mpya wa 2015 wameuanza kwa kipigo kitakatifu cha goli 5-3..... Nadhani hii wiki itakuwa ya ongea kwa heshima mitaani, maanake wana midomo hawa!!!! hongera sana spurs, hongera zaidi kwa mtibwa suger kwa kuufanya mwaka mpya niuanze kwa furaha.