Wakuu tuna kila sababu ya kumshukuru mungu kwa kumaliza mwaka 2016 salama na kuuona tena mwaka mpya 2017.wapo wengi waliotamani kuuona mwaka huu lakini kwa namna moja au nyingine hawakuweza kuuona lakini sisi mungu ametujalia tumeweza kuuona mwaka huu na sio kwamba sisi tumetenda mema na wao wametenda mabaya lahasha bali ni kwa neema ya mwenyezi mungu basi yatupasa kumshukuru kwa baraka zake anazotujalia maishani mwetu. HAPPY NEW YEAR 2017 ALL JF MEMBERS