The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,427
Muulize Barack ObamaWakuu habari
Nawakumbusha Kwa wale wanao tumia mkono wa kushoto kuwa Leo ni siku yetu 13.Aug . 2024( Left handers day)
Naomba tujuane left handers, alafu tupe experience kuhusu mkono wako wa kushoto
Mimi mkono wangu wa kushoto ndio mkono wenye nguvu, Ikatokea nimekupiga ngumi lazima upewe transfer Muhimbili kitengo Cha mifupa Moi
Kingine, mm ni genius sana , hii notion inajulikana
Huo u genius umeupimaje mkuu?Wakuu habari
Nawakumbusha Kwa wale wanao tumia mkono wa kushoto kuwa Leo ni siku yetu 13.Aug . 2024( Left handers day)
Naomba tujuane left handers, alafu tupe experience kuhusu mkono wako wa kushoto
Mimi mkono wangu wa kushoto ndio mkono wenye nguvu, Ikatokea nimekupiga ngumi lazima upewe transfer Muhimbili kitengo Cha mifupa Moi
Kingine, mm ni genius sana , hii notion inajulikana
Oyaaa sasa maliwatoni unatumia mkono gani mkuu ππππWakuu habari
Nawakumbusha Kwa wale wanao tumia mkono wa kushoto kuwa Leo ni siku yetu 13.Aug . 2024( Left handers day)
Naomba tujuane left handers, alafu tupe experience kuhusu mkono wako wa kushoto
Mimi mkono wangu wa kushoto ndio mkono wenye nguvu, Ikatokea nimekupiga ngumi lazima upewe transfer Muhimbili kitengo Cha mifupa Moi
Kingine, mm ni genius sana , hii notion inajulikana
Chai hii π΅ π΅Nasikia mnakuwa na akili sana, eti?
I'm one of them. Ni watu wasiotabirikaWhat about left legged people?
Tunakuaga mafundi wa mpira, vipaji halisiWhat about left legged people?
Ndio .. mfn mzuri mimiNasikia mnakuwa na akili sana, eti?
Weeee, kumbe!Ndio .. mfn mzuri mimi
Left mzeeOyaaa sasa maliwatoni unatumia mkono gani mkuu ππππ
Na kula je?ππLeft mzee
Nawe ni Left handerMuulize Barack Obama
Njoo kidimbwi , Kuna Ndafu na bia nyingi mnoooTunakutana wapi ?