Happy Independence day Israel

Happy Independence day Israel

Spanish flu

New Member
Joined
Mar 23, 2020
Posts
2
Reaction score
9
Leo ni siku ya Uhuru Wa Israel ,tumshukuru Mungu kwa ajili yao.
IMG_20200428_215157.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya Uhuru au uvamizi wa Palestinian Land??

Sent using Jamii Forums mobile app
Palestina hawajawai kuwa na ardhi.israel,na hata Nabii Joshua alipowaingiza waisraeli pale Cannan palestina haikuwako na hata Mfalme Daudi hakutawala palestina ila ni nchi ya Israel na makao yake yakiwa Jerusalem.Na hata bendera ya Israel ilitumika yangu enzi za Mfalme Daudi na Solomon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shalom Israel 🇮🇱🇮🇱🇮🇱
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kama kuna taifa ambalo mipaka yake haina shaka ni taifa la Israel; kama kuna nchi kabila zake hadi mbele ya Kiti cha Enzi zimepigwa muhuri ni nchi ya Yakobo; kama kuna taifa ambalo kwalo Mungu amejifunua kwetu ni nchi ya Ibrahim na Isaka na Yakobo. Happy birthday Israel; idumu milele Israel sawa sawa na ahadi ya Bwana Mungu wa Yakobo. Amen.
 
Palestina hawajawai kuwa na ardhi.israel,na hata Nabii Joshua alipowaingiza waisraeli pale Cannan palestina haikuwako na hata Mfalme Daudi hakutawala palestina ila ni nchi ya Israel na makao yake yakiwa Jerusalem.Na hata bendera ya Israel ilitumika yangu enzi za Mfalme Daudi na Solomon.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio enzi za mfalme Daudi na nabii Joshua Mpaka sasa Ukipiga hesabu ndio inakua miaka 72 !?

Na huo uhuru waliupata kutoka kwamtawala gani ?!

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom