Leo ni siku kubwa ya kusherehekea ma baba wote .hongera zenu .Nina Imani wake zenu na baby mama wamewanunulia zawadi nzuri na chakula kizuri kushukuru .Happy fathers day to everybody ( fathers )
Ahsante sana.
Hii siku huwa haifani sana kwakuwa unaweza kuwa unaitwa baba lakini kumbe mtoto si wako.
Mwenye uhakika wa mtoto ni mama tu. Ahsanteni wamama kwa kutuzalia watoto hata kama ni wa kubambikiwa. Kizuri ni heshima mnayotupa ya kuitwa baba nanihii.
Leo ni siku kubwa ya kusherehekea ma baba wote .hongera zenu .Nina Imani wake zenu na baby mama wamewanunulia zawadi nzuri na chakula kizuri kushukuru .Happy fathers day to everybody ( fathers )
Leo ni siku ya kusherekea ma baba kwa mujibu wa nani, azimio la Umoja wa Mataifa?Leo ni siku kubwa ya kusherehekea ma baba wote .hongera zenu .Nina Imani wake zenu na baby mama wamewanunulia zawadi nzuri na chakula kizuri kushukuru .Happy fathers day to everybody ( fathers )
Tuko Happy F day....
aisee,nilikua cjui,ngoja nimwambie waif aninunulie hata boxer dah
mimi je?
Especially USA mpaka kanisani tumewaOmbea.ni sherehe haswaaaaLeo ni siku ya kusherekea ma baba kwa mujibu wa nani, azimio la Umoja wa Mataifa?
Ni wapi huko mnasherehekea siku ya ma baba leo?
Happy fathers day
right, kwa hiyo mkiongelea hizi mada za sikukuu muwe specific ni nchi gani tunaongelea, sio huku kwetu sisi hatuna cha father's day wala daughter's day wala nothing like that, tuna sikukuu za kutosha tayari za hili li Muungano letuEspecially USA mpaka kanisani tumewaOmbea.ni sherehe haswaaaa