Happy CHUPI's DAY

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,212
Reaction score
16,915
Leo ni mwaka wa 318 tangu kutengenezwa kwa chupi ya kwanza, ila kuadhimisha siku hii ya leo hebu taja rangi ya chupi uliyovaa.
Usipotaja - hujavaa chupi
ukikasirika - chupi yako imetoboka
 
Njoo tuyajenge plz
USHAURI
Nimeligundua tatizo lako mkuu ,
Kinachokufanya ukose WATOTO ni SHOBO,
INAONEKANA huko uliko wameshakujua tabia yako,
USIPOKUWA MAKINI
Utachuja hadi humu ndanii,
NI USHAURI TU LAKINI .
 
USHAURI
Nimeligundua tatizo lako mkuu ,
Kinachokufanya ukose WATOTO ni SHOBO,
INAONEKANA huko uliko wameshakujua tabia yako,
USIPOKUWA MAKINI
Utachuja hadi humu ndanii,
NI USHAURI TU LAKINI .


[emoji3][emoji3][emoji3] unamuua mwanaume mwenzio
 
Hilo bonge la toto lililovaa chupi kubwa ni la wapi jmn, mbn lipo "oder" sana?
 
Asante yesu kwa uumbaji wako kutuletea mwanamke kwenye uso wa dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…