Happy brithday my uncle fatuma mnaro!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Kama mungu angetuwezesha mama zetu kuweza kubana tusiktoke wakati wa kuzaliwa basi ningemwambia dada yangu j asimtoe uncle wangu fatty...tar 24 ili na yeye aingie kwenye didybook ya waliozaliwa tar 25 dec ...

Happy bday uncle nakutakia kila la kheri na siku kuu njema mung akulinde ni maombi yangu mzumbe utamaliza salama bila presha za mimba na mengineyo maana sikuhizi wanachuo wamekuwa mafataki kuliko uraiani wanadanganya watoto zetu wanawawowa mpaka wawape mimba wakisikia njwi..wanasema huyo wako anakuwa wa wakwe...haya si maisha laana hizo zisiwe kwako in jesus name

wape hi wote batoto ba arusha ,papa mnaro nk
 
kumbe ndio maana Fatma alinambia anpenda kutembelea celebrity kumbe ana mjombake!
 
Back
Top Bottom