Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,430
hongera saana
thank you preta ..be bleesedhappy birthday mkuu....uwe na wakati mzuri.....
Hongera. Umetimiza miaka mingapi vile?
Happy birthday,Mungu akulinde tena kwa mwaka ujao na akupe baraka
Nipo kwenye kundi la wanaota mvii ....
mungu akupe afya tele mkubwa.
Hongera. Umetimiza miaka mingapi vile?
HAPA HUSN hapatokagi jibu kwa maana ya swali ! Nafikiria huenda ni moja ya Jf membars C.v's kuweka age zao kwenye ( )
Back to the story!
Nakutakia Afya njema Safety!
Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa...................
Hongera sana Mkuu,
enjoy your birthday.