Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
- Thread starter
-
- #161
Hakuna vyeki wala vyuku kuna maboga na mafenesiHilo usijali msee wee si unaniaminia,
lakini
Ngoja kwanza usizuge hapa, tunataka utuelekeze chimbo la kuja kula vyeki na vyuku vya kutosha
Nyieeata mm naziona dada kwa mbali
husna muba sio unapenda penda maninja tu, Daby huyu mrembo ataweza kulala kwenye mahandaki kweli huyu? Mbona mlaini sana
Dadake mshkaji gani!!!
Leo sibanduki nyuma yenu, yaani ka mkia vile
Hahaha
Koh mzee mwenzangu Shunie na kigauni chake arudi tu ndani eeeh! !
VP mbona kodoo?!
Mmeanza ee?hajui kama tunaweza kumtoa
hahahhh sakayo ulisema unaonaKeki maboga na tunakula wenyew
Nimeanza kumfundisha taratibu...
Siunajua ukishapendaa unakuwa mpole kama unafanyiwa upasuaji wa nyeti!
nishajibiwa cake maboga na nilivyokua siyapendi kuleni wenyeweBaby Shunie anaulizia keki inakatiwa wapi..
Mwehu wewe tunakutanaje na hujanambia hem nipitie ukotutakutana huko huko
nishajibiwa cake maboga na nilivyokua siyapendi kuleni wenyewe
Bonny akija na boga langu mlisheni tu yy
nishajibiwa cake maboga na nilivyokua siyapendi kuleni wenyewe
Bonny akija na boga langu mlisheni tu yy
ww si hautembeagi imekuaje leo halaf mbona haujamuwish Daby birthday yakeMwehu wewe tunakutanaje na hujanambia hem nipitie uko
Acha tu umkumbushe maana nimeisubiria wapiiiww si hautembeagi imekuaje leo halaf mbona haujamuwish Daby birthday yake
huyo akikaa naona anamuwaza shunie tu usikute ameingia tu anajua uzi wetuAcha tu umkumbushe maana nimeisubiria wapiii
Haha... basi na wewe umejua Manga anakupenda saana unaringaaa.huyo akikaa naona anamuwaza shunie tu usikute ameingia tu anajua uzi wetukumbe thread ni ya birthday
HahahaYupo mwenyewe huyu sumbai. Siunaona anajiamini