happy birthday to me!

Happy birthday to youuu * 3
 
Attachments

  • 1388733958035.jpg
    69.6 KB · Views: 66
heri ya siku ya kuzaliwa..
Mungu akupe miaka mingi, yenye furaha, afya tele, upendo na mafanikio!!
 
Happy birthday!

Mwenyezi mungu akujaalie maisha marefu yenye furaha na mafanikio.
 
Kwa nini huwa mnataja tarehe na mwezi bila mwaka?taja mwaka tujue kama ni spring chicken au ni bibi bomba.
 
hahahahah sawa bwana...kwa hiyo huniwish hapi besdei kisa sijataja mwaka? oooh no!
Kwa nini huwa mnataja tarehe na mwezi bila mwaka?taja mwaka tujue kama ni spring chicken au ni bibi bomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…