mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuifikia siku ya leo,siku ambayo naadhimisha miaka kadhaa toka kuzaliwa kwangu.
Shukrani za dhati kabisa natoa wazazi wangu walonileta duniani..nawapenda sana.Marafiki zangu na member wote wa JF asanteni sana kwa uwepo wenu humu..nawapenda mnoo.
Mwenyezi Mungu atulinde sote na atujaze kwa baraka zake
Heri ya siku yangu ya kuzaliwa.

Last edited by a moderator: