Dio JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 1,274 Reaction score 159 Jul 10, 2011 #1 Namshukuru MUNGU kwa kuendelea kila siku iitwapo leo. Namshukuru kwa kunipa mahtaji yangu ya roho na mwili, pia namshukuru kwa kunipa marafiki weng ndani na nje ya jf. Kwa kuweza kushare mambo mengi na mapya ktk maisha yangu nasema asante Mungu.
Namshukuru MUNGU kwa kuendelea kila siku iitwapo leo. Namshukuru kwa kunipa mahtaji yangu ya roho na mwili, pia namshukuru kwa kunipa marafiki weng ndani na nje ya jf. Kwa kuweza kushare mambo mengi na mapya ktk maisha yangu nasema asante Mungu.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jul 10, 2011 #2 Happy Birthday...