ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
jamani nataka pampers na keki hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
asante rafiki napokea hizo barakaHongera kwa kuongeza mwaka mwengne....more days to live more blessings!
asante sana besti wanguHeri ya siku yako kubwa LadyFurahia Mungu akupe hekima, maisha marefu ya furaha na amani amen[emoji120]
asante hhahahaaaa umeniwekea rangi gnai hiyo siwezi kusoma hayo maandishihappy birthday lady
ameni nimeshazaliwa mara ya pili nasubiria kwenda heavenHongera kwa kuzaliwa upya mwaka huu,
Endelea kutenda mema ili ukazaliwe Upya pia Mbinguni
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiii asante kwa hawa manyani wamenifurahsha sana uwiiiiiiiiiiiiii heheheheheeeee
leo umeamua kunitumia hivi vitu hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nifundishe nami kutuma hizi clip sijui link
Ubarikiwe[emoji120]asante sana besti wangu
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiii asante kwa hawa manyani wamenifurahsha sana uwiiiiiiiiiiiiii heheheheheeeee
leo umeamua kunitumia hivi vitu hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nifundishe nami kutuma hizi clip sijui link
Happy birthday dear!!Habarini
Nimeamua nijithread mwenyewe ahahahahahahahaaaaaa
Wakati unasonga na miaka inakwenda, Hata katika Bible, Mhubiri anasema hivi:
" kuna wakati uliowekwa kwa kila mtu hapa duniani, hata kuna wakati wa kila jambo chini ya Mbingu"
"Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kung'oa kilichopandwa,
"Kuna wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga"
"kuna wakati wa kuomboleza na wakati wa kurukaruka"
"kuna wakati wa kulia au wakati wa kucheka"
"kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa'
Na leo hii ninakumbuka siku ya kuzaliwa kwangu namshukuru Mungu kunileta duniani na pia namshukuru Mama kwa kunizaa, kunilea na alikuwa halali kwa ajili yangu na sina cha kumpa mama yangu zaidi ya kumpa upendo wangu asante amama
Ungana nami mabestitoooooooooooooooo
jamani nataka pampers na keki hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa