Happy birthday precious pdidy

Happy birthday precious pdidy

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,657
Reaction score
37,821
Yesuuu unipendaaaeeeee kwaakooo nakimbiliiiaaaaaa ni weweeeee utoshayeeeee mwovu akinijiaaaaaaaa yaficheeee ubavuniiii kwako maisha yaaaanguuuu ;;;NDugu zangu wapendwa katika Bwana ni furaha yangu kumshukuru Mungu tena kwa Kumfikisha mtoto wetu wa pili mwaka mmoja tanggu azaliwe siku yalo;Nasema kumpata ni ushuhuda wa ajabu kwangu mimi nakumbuka siku kjama ya jana usiku mama didy akasema anataman hewa ya cocobeach ssa mbili usiku nkasema majaribu haya nkamchukua tukakaa pale kwenye mihogo kwa mnaojua coco kila nikimwambia twende hataki;gafla akasema nataka nitembee tukate tukatembea kama dk 5 nkamcmrudisha tukiwa mwenge to tankbovu akaanza kulia tumbo inauma mara nilazie kiti hee nikamwambia twende lugalo akagoma nataka muhmbili kuangalia naona damu nikakimbiza gari mpaka lugalo kufika nikamwomba nesi twende tukamchukue nafunfuea mlango tunassikia keleee ngaaaa ngaaaaa wakamchukua na kumsafisha wakamchukua na mama leo ninae precious akiwa na 1 yr bahati wachaga awaruhusu kuita watoto majina ya magari ningemwita PREMIO LEO HII KITI KILE CHA GARI NACHO NIMEKIPA JINA LA PRECIOUS;KWA NIABA YA FAMILIA TUNAMSHUKURU MUNGU KUMLETA NA KUMTUNZA MTOTO WETU WA PILI PRECIOUS NASHUJURU KWA MAOMBI YENU NA MUNGU AWABARIKI
 
Back
Top Bottom