ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
bestito ulipotelea ughaibuni nini? au nawe ulikamatwa mtegoni wakati ndege inatua?
Nilikuwa kwenye msafara wa kwenda kusaka ile ndege ya Malaysia....ndio nimerudi na ngalawa
pole mwaya karibu huko mafichoni umetuletea nini?