Dr criminal JF-Expert Member Joined May 16, 2022 Posts 2,284 Reaction score 4,338 Mar 18, 2023 #41 Happy birthday to her Mkuu i think we can talk Nataka nimuoe huyo baada ya miaka nane Ntakusaidia mambo fulan fulan kwenye kushape future yake
Happy birthday to her Mkuu i think we can talk Nataka nimuoe huyo baada ya miaka nane Ntakusaidia mambo fulan fulan kwenye kushape future yake
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,972 Reaction score 22,933 Mar 18, 2023 Thread starter #42 Dr criminal said: Mkuu i think we can talk Nataka nimuoe huyo baada ya miaka nane Click to expand... Soma tena ushauri niliompa na utajua jinsi ya kumuingia akubaliane nawe. Mambo ya kuzungumza na baba mkwe mtarajiwa kabla hujazungumza na binti aliishia enzi za Nyerere na Nduli Idi Amini
Dr criminal said: Mkuu i think we can talk Nataka nimuoe huyo baada ya miaka nane Click to expand... Soma tena ushauri niliompa na utajua jinsi ya kumuingia akubaliane nawe. Mambo ya kuzungumza na baba mkwe mtarajiwa kabla hujazungumza na binti aliishia enzi za Nyerere na Nduli Idi Amini
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,743 Reaction score 73,011 Mar 18, 2023 #43 Mbona utavurugwa na kila comment sasa.. Any way hongera kwa kuwa na binti mkubwa hivyo..kila la heri kwake
Mbona utavurugwa na kila comment sasa.. Any way hongera kwa kuwa na binti mkubwa hivyo..kila la heri kwake
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,972 Reaction score 22,933 Mar 18, 2023 Thread starter #44 Kalpana said: Mbona utavurugwa na kila comment sasa.. Click to expand... Hilo halinipi shida, najua kuna watu humu akili zao zimelishwa nusu kaputi, najua jinsi ya kuchukuliana nao
Kalpana said: Mbona utavurugwa na kila comment sasa.. Click to expand... Hilo halinipi shida, najua kuna watu humu akili zao zimelishwa nusu kaputi, najua jinsi ya kuchukuliana nao
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,972 Reaction score 22,933 Mar 18, 2023 Thread starter #45 Kalpana said: Any way hongera kwa kuwa na binti mkubwa hivyo..kila la heri kwake Click to expand... Asante
Kalpana said: Any way hongera kwa kuwa na binti mkubwa hivyo..kila la heri kwake Click to expand... Asante
Dr criminal JF-Expert Member Joined May 16, 2022 Posts 2,284 Reaction score 4,338 Mar 18, 2023 #46 Kambi ya Fisi said: Soma tena ushauri niliompa na utajua jinsi ya kumuingia akubaliane nawe. Mambo ya kuzungumza na baba mkwe mtarajiwa kabla hujazungumza na binti aliishia enzi za Nyerere na Nduli Idi Amini Click to expand... Nduli[emoji23] Sawa basi nipe mawasiliano yake
Kambi ya Fisi said: Soma tena ushauri niliompa na utajua jinsi ya kumuingia akubaliane nawe. Mambo ya kuzungumza na baba mkwe mtarajiwa kabla hujazungumza na binti aliishia enzi za Nyerere na Nduli Idi Amini Click to expand... Nduli[emoji23] Sawa basi nipe mawasiliano yake
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,972 Reaction score 22,933 Mar 18, 2023 Thread starter #47 Dr criminal said: Sawa basi nipe mawasiliano yake Click to expand... Acha kupotea kijana, buni mradi wa kukuongezea kipato na sio kutafuta namba za mabinti wa watu.
Dr criminal said: Sawa basi nipe mawasiliano yake Click to expand... Acha kupotea kijana, buni mradi wa kukuongezea kipato na sio kutafuta namba za mabinti wa watu.
Dr criminal JF-Expert Member Joined May 16, 2022 Posts 2,284 Reaction score 4,338 Mar 18, 2023 #48 Kambi ya Fisi said: Acha kupotea kijana, buni mradi wa kukuongezea kipato na sio kutafuta namba za mabinti wa watu. Click to expand... Sawa mkuu
Kambi ya Fisi said: Acha kupotea kijana, buni mradi wa kukuongezea kipato na sio kutafuta namba za mabinti wa watu. Click to expand... Sawa mkuu