dada nilichelewa mwenzioNapenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama Dada Mkubwa wa Familia ya kina Mwifwa kuwashukuru wale wote wana Familia ya Jf mliojumuika nasi katika kumtakia kila la kheri mdogo wetu mpendwa Mwifwa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Upendo na Mioyo hiyo hiyo mliyotuonyesha kwa siku ya jana.
Mie nilikuwa busy na mambo ya maandalizi ndio sababu sikuwa natia neno humu. Muwe na kila la kheri na kwa wale mliochelewa bado mnakaribishwa sio mbaya mkaendelea kumtakia maisha marefu kijana wetu mpendwa na aliye kipenzi watu.
Wana Familia wote kwa pamoja ukhuty, Davet na mimi Hajar tunawashukuru Mnoo na tunawapenda zaidi ya sanaaaaa. Mbarikiwe wote. INSHA ALLAH.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
shukran dadaYaani tunawashukuru mnoo. Mie pia nawashukuru sababu wakati niko busy na wageni nyie hamkuwa nyuma na Wana familia ya jf.
Mbarikiwe sana wadogo wangu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
usijal mdog wangu
uporo hahhaha
HahahahaaaaHBd mkuu.
Japo huwa nahisi uko kitengo maalum.[emoji13][emoji13]
Pole sana Dada yangu, bado hujachelewa sanadada nilichelewa mwenzio
Hahahahaaaa.haha ngoja nikamuone basi nimpe mma
hahhaha sawa tajitahidHahahahaaaa.
Sawa ila angalia asipaliwe
Basi mpe juisi usimpe mma hayana ladhahahhaha sawa tajitahid
maji mazur zaid mdog wanguBasi mpe juisi usimpe mma hayana ladha
Kwa hiyo juisi haifai eehh?maji mazur zaid mdog wangu
haiafai hasa ukipaliw mdogo wanguKwa hiyo juisi haifai eehh?
Amen