Happy birthday mr. Robert mugambe....miaka 90 sasa!!

Happy birthday mr. Robert mugambe....miaka 90 sasa!!

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
409
3522243461.jpg3522243461.jpg
Nataka nikupatie pongezi Mr. Mugabe kwa kufikisha umri wa miaka 90. Umri ambao wengi tunautamani kuufikia na wewe ni miongoni mwa wale mliopewa tunu ya kufikia umri wako.
Mimi ni mwafrika mwenzako ingawa ninatokea upande wa mashariki wa Afrika katika nchi iitwayo Tanzania kule alipotokea Mwalimu Nyerere.
Leo nikiulizwa nimejifunza nini kutoka kwako,ni suala la kujiamini na kusimamia lile mtu analoamini,kitu ambacho Waafrika wengi tumekosa.
Nazipenda kauli zako ambazo uwa sio za kuzunguka zunguka kama vile Waafrika wengine tulivyo,hasa wakati tunapopata nafasi ya kuwaongoza waafrika wenzetu.
Ninaamini baada ya Nyerere,Mandela na Ghadafi,bila kumsahau Kwame Nkurumah uliyebaki ni wewe tu.
Nakuombea kila la kheri...uenda ipo siku Waafrika wenzako tutaunganisha pamoja nguvu na kukataa kupelekeshwa na mataifa ya ulaya na Amerika.
 
Back
Top Bottom