26 yrs of age si haba,, naona wedding bells nazo zinakaribia kugonga as life la kibachelor nimeona pengo lake as wife angekuwepo ndan si ajabu bonge la keki na mapocho pocho kibao yangekuwa around..( Ndo maana sizipendi hizi long distance relationship)
But ki bachelor life ndo kwanza najipongeza na castle light baridi as ndo zilizopo kwenye friji,, nikivutavuta muda niende kwa B mkubwa nje ya mji huko nae akafanye mambo yake hata ya ka cake tufurah na familia....

Mwaaaaaah KipipiHapi basdei Mkata kiu!
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako na nakuombea usiwe kama Erickb52 kusarandia wadada wengine pindi wifi yangu anapokuwa hayupo!!
Ila siku nyingine usiwe unasherekea kipekee yako chalii yangu
Ungetualika hata sie marafiki angalau tukaja na togwa kuliko hiyo castle light yako. . . . unachafua tumbo na makemiko!!
:cheer2:hapi basdei kwa mara nyingine tena!:cheer2:
Ndo nimeshatokelezea hapa, b mkubwa atambui uwepo wa bi mdogo until acheze harusi,,
Nimezaliwa cku Kama hii ya Leo, 27/10 naomba unitakie kheri ya kuzaliwa mwanaume wa kweliHappy Birthday to you!!!!!!!!! Kata keki tuleeeeeeeeee! Tunakula ubuyuuuuuuuuuuuu! HAPPY BIRTHDAY!!!!!!!! Ndugu 26 mbona dogo kabisaaaa! Yanini kuwahi majukumu? Anyways its ya call!!!!!!!! Ungetuita hata sisi tuje na vodka zetu tukuimbie happy birthday ya kilevi!!!!!!!!!! lol!
Nimezaliwa cku Kama hii ya Leo, 27/10 naomba unitakie kheri ya kuzaliwa mwanaume wa kweli
Namsubiri Ciello tukalale, maana kumuacha humu peke yake alafu ndio kwanza safari inaanza wasije muudhi bule baby wangu! Asante sana sie ni SCORPION bwana tunaendana eeh!HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!!! ya herufi kubwa hiyo!!!!Kumbe na wewe LIBRA!!!!!!!!! Aaaaaaaaw! Hata mimi ni SCORPION PIA!!!!!!! sisi ni majirani!