Happy birthday Mia Khalifa

Be like Bro akili zake anazijua mwenyewe, eti singer!
nah hizo memes zina make fun tu, anajua kama ni porn star lkn kwa kumake fun anamwita singer. zipo nyingi tu kuhusu Mia nyengine zikifanywa kama Mia akiwa actor wa disney channel. wasiotizama vyonda hawatomjua na watagoogle ndio watamjua, na kama unamjua kabla ya kugoogle basi inatosha kuwa ushahidi wewe ni mtizamaji wake 😀
 
Shemeji utavurugikaje wakati shemeji nipo jamani, hivi MO11 amekuandalia chochote kesho siku ya wapendanao?
Aandae wapi wakati yuko busy na birthday za akina mia[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Aandae wapi wakati yuko busy na birthday za akina mia[emoji24] [emoji24] [emoji24]
nilikua sina nia ya kukwambia ila nimekundalia surprise Valentine hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…