Happy birthday me

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,705
Miaka kadhaa huko nyuma mtoto wa kiume alizaliwa na kwa uwezo wa Mungu hadi leo anaendelea kupumua,happy bday to him.
Namshukuru sana Mungu kwa hapa nilipofika,mama yangu and my late father,ndugu na friends wote especially Jamii Forums. Naitumia siku ya leo kutafakari maisha yangu huko kote nilikopitia,kubwa zaidi nililopanga ni kuendelea kufanya mchakato wa kubadili maisha yangu,yawe mazuri zaidi kimwili na kiroho.Amani na upendo,kusimamia haki na demokrasia,ukweli na uwazi daima vyote viwe nguzo imara katika maisha yangu.Thanks again wana JF kwani tangu nimejiunga hapa 2008 nimejifunza mengi sana na nimetoa yangu japo bado nadaiwa zaidi. ALL THE BEST washkaji.
Cc. Invisible Madame B Arusha one MziziMkavu , Ben Saanane ZeMarcopolo Bishanga Passion Lady Erickb52 Baba V...na @wadau wengine wote
 
Last edited by a moderator:
Nakutakia maisha marefu yenye mafanikio na Mungu akuepushe na maradhi na maadui.

Happy Birthday ray05.
 
Last edited by a moderator:
As you are born 2day, remember the world is born again not against. Happy birthday 2u
 
Last edited by a moderator:
Stay blessed

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hongera kwa kuzaliw upya Mungu akutangulie kwa kila jambo ray05
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nakutakia maisha marefu yenye mafanikio na Mungu akuepushe na maradhi na maadui.

Happy Birthday ray05.

Happy birthday, enjoy it.

Happy birthday ray05

As you are born 2day, remember the world is born again not against. Happy birthday 2u


happybirthday ray05

Pamoja sana wakubwa,napokea hizi kama baraka tele zikapate kuniongoza huko ninapokwenda.
 
Last edited by a moderator:
... Mkuu' heri ya kuzaliwa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…