hahahaha...... Yeah, tuombeane heri tuje tule bata tena shem
weweeeeeee mwallu hahusiki kabisaaaaa na hasira yangu mwache my sister kabisaaaaaaa
na Passion Lady sio shemeji yako Excel jamani ni mkweo mdogo huyo
Hunipiti nilivyokumithi, ila najua yote kheri kabisa, naomba niwe 'godfather' wa baby! Hongera kwa Mara nyingine shem langu..
miss neddy baby umemuona mumeo kitu anayofanya kwenye hii familia?
...haha, usijali shem langu..
usijali kuhusu kua godfather hilo limepita!!
afu ukija mjini niletee ndisi mshare ya kitawa,ndizi ngombe ya mtori
na mzuzu kwa ajili ya wageni wapate kitafunwa,mkate gharama!!
...haha, usijali shem langu..
kwani shamba hamna ndizi shem, mpaka nilete toka mjini?
Happy belated birthday Lady doctor , sikuona sijui nilikua wapi jamani.
pacha mkwe Excel bado ananipenda mkwe wake!!
wivu tu unamsumbua,asione nimepewa kaofa mimacho hihaaaa!!
Kweli nilitakiwa niwe wa kwanza nisamehe bure mdogo wangu nakupenda hasaadada mkubwa sikuhizi hupendi wadogo zakoee, siku ya birthday yangu ulitakiwa uwe wa kwanza kujua
Kweli nilitakiwa niwe wa kwanza nisamehe bure mdogo wangu nakupenda hasaa
happy late birthday Lady doctor!nimekusamehe dada, hata wewe wajuwa nakupenda sana dada angu msalimie da Fixed Point mwambie nimemmiss pamoja na mimi49
My twin Fixed Point unasalimiwa na mdogo wetu Lady doctor. Natumaini salamu zimefika na si muda mrefu utamuona anakusalimia kama atakua yuko fit.nimekusamehe dada, hata wewe wajuwa nakupenda sana dada angu msalimie da Fixed Point mwambie nimemmiss pamoja na mimi49
pacha, mie huyu mkwe ananitia hasiraa