Mhhhh jamani BAK............hilo neno linamaanisha "outing", nimelisikia watu wakilitumia pale wakimaanisha wanaenda outing au walikuwa outing nzuri..........SORRY kama limesound vibaya. Hope you know kabisa kinywani mwangu sio rahisi kabisa likatoka neno baya.