Dahafrazeril
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,500
- 2,061
Happy Birthday...
Happy birthday
Happy Birthday
Nimewasiliana na na Abdallah Mwaipaya pia kakuwish sana birthday njema
[emoji28]
Live long bro
Happy Birthday Mkuu Gentamycine, Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na Baraka Amen
Happy birthday mkuu.
Mungu akupe afya njema kila siku tuzidi kufaidi michango yako
HahahahaHaaaaaaahaaaaaa Iceman usimchonje mwenzio Mwaipaya hawezi kumwish hyu anamuona co siri za studio kazitoa nje!
Kwa mamaSabalkheri!!.
Nianze kwa kuwaomba radhi kwa kuwa-quote wishing zenu za Siku ya kuzaliwa kwa GENTAMYCINE .Kuna suala fulani la msingi sana kwangu (Nb;Kwako laweza kuwa la kipuuzi) ambalo huwa najiuliza mara nyingi sana haswa ninapowasikiwa watu wakitakiana heri ya siku ya kuzaliwa kwa aidha kutimiza miaka fulani nk.
Swali langu lipo hivi, "Siku ya kuzaliwe kwa yeyote,Je pongezi haswa ziende kwa nani?.Kwa mtoto au kwa Mama mzazi (Biological mother) wa mtoto?.
Karibuni sana,Majibu ya Mantiki (Logic) fafwadhali.
Hz ishu za mkeo anaingia shift na mfanya kazi mwenzie wa kiume bc tu tutafanyaje ila co salama kabsaaaaa kati ya me na ke(toa kaka na dada,mama na mwana) watatu wao huwa ni shetani kifuatacho nadhani cna haja ya kujaza server!Hahahaha
Jamaa leo kamchomea mwenzie halafu ukute walikuwa bado hawaja maliza wako kwa process. Mr ABD atakuwa ka mind kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hz ishu za mkeo anaingia shift na mfanya kazi mwenzie wa kiume bc tu tutafanyaje ila co salama kabsaaaaa kati ya me na ke(toa kaka na dada,mama na mwana) watatu wao huwa ni shetani kifuatacho nadhani cna haja ya kujaza server!
Fafanua kidogo Mkuu.Kwanini kwa Mama?.Kwa mama
Since mama anakutunza miezi 9 tumbo ni,hujui aliumwa nini au alipitia kipindi kigumu kiaso gani when she let you be the human in the earth. After Hapo tena inakuka process ya kulea mtoo,kulea mimba si kazi kazi kulea mtoto. Hujui umeumwa na kutibiwa Mara ngapi? Ulikuwa unakula nini?unavaa nini na unalala wapi ni hesabu za mama. Umekua na kuanza kujielewa unaenda shule mpaka kufikia Hapo uliko,you can't count the cost per action. Mama ni mamaFafanua kidogo Mkuu.Kwanini kwa Mama?.
Since mama anakutunza miezi 9 tumbo ni,hujui aliumwa nini au alipitia kipindi kigumu kiaso gani when she let you be the human in the earth. After Hapo tena inakuka process ya kulea mtoo,kulea mimba si kazi kazi kulea mtoto. Hujui umeumwa na kutibiwa Mara ngapi? Ulikuwa unakula nini?unavaa nini na unalala wapi ni hesabu za mama. Umekua na kuanza kujielewa unaenda shule mpaka kufikia Hapo uliko,you can't count the cost per action. Mama ni mama
Happy birthday mkuu...
Haaaaaaahaaaaaa Iceman usimchonje mwenzio Mwaipaya hawezi kumwish hyu anamuona co siri za studio kazitoa nje!
Dear Valued Member GENTAMYCINE,
It’s time to get happy! We at JamiiForums would love to wish you all the best on your birthday and everything good in the year ahead and forever.
Happy Birthday!
happy b/ day rafiki
karibu tena rafiki yangu , maji ya mende wapi nije kunywa sikumwagiiAkhsante sana na mno Dada yangu Mpendwa humu JF. Nimefurahi kupata salamu yako Dada.