Happy Birthday Freeman Mbowe Mwanasiasa Shupavu

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Leo tarehe 9 Desemba 2020 ni siku ya kumbukizi ya Kupata uhuru wa Taifa la Tanganyika lakini pia ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa Mwanasiasa mashuhuri Freeman Aikael Mbowe.

Mheshimiwa Mbowe sio tuu kuwa alizaliwa tarehe hii ya Uhuru Bali ni kuwa alizaliwa siku hiyo ambayo Tanganyika ilipata Uhuru wake.

Hili jambo sio coincidence bali pengine Mungu alikuwa na mipango yake kwetu.

HAPPY BIRTHDAY KAMANDA FREEMAN MBOWE.
 
Mbowe kazaliwa september!
Mbowe yupi unamzungumzia?

Screenshot_20201209-133731.jpg
 
Hili jambo sio coincidence bali pengine Mungu alikuwa na mipango yake kwetu.
Mipango ipi hii ya kumkaribisha Lowasa aje akivuruge chama na kurudisha juhudi za upinzani kushika dola nyuma? Ukawa kupitia bingwa wa siasa za upinzani mh Dr Slaa na mpambe wake mh prof Lipumba walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2015 lkn Mbowe kwa kulitambua hilo akaamua kurudisha juhudi hizo nyuma kwa kumkaribisha Lowasa chamani na kumpa nafasi ya kugombea uraisi huku akijua fika kwamb kwa jinsi upinzani akiwemo yeye mwenyew Mbowe walivyomchafua huyo Lowasa kwa kipindi cha miaka 8 nyum.

Asingeweza kushinda kwa kutumia propaganda za kumsafisha kwa mwezi mmoja tu. Yeye alichoangalia zaid ni masilahi ya tumbo lake na sio masilahi ya nchi kwa kipindi kile
 
Leo Konyagi anashushia wapi ?
Awe makini asije vunjika mguu tena akiwa kwa hawara wake Mukya.
Yule sio hawara tena Ila mzazi mwenzie.
Hawara ni kama yule wa Kisarawe ambaye amesha sababisha watu kupoteza ajira na uteuzi.
Ona Kigwa kapoteza nafasi lakini hata akiwa nje anaandamwa na vijembe hadharani.
Jamaa yenu ana gubu! Kasahau hata yeye kawanyang'anya kina Kiba?
 
Yule sio hawara tena Ila mzazi mwenzie.
Hawara ni kama yule wa Kisarawe ambaye amesha sababisha watu kupoteza ajira na uteuzi.
Ona Kigwa kapoteza nafasi lakini hata akiwa nje anaandamwa na vijembe hadharani.
Jamaa yenu ana gubu! Kasahau hata yeye kawanyang'anya kina Kiba?
Mukya, huyu ndio amesababisha COVID -19 watemwe na Mbowe kwa kuwa yeye hayupo kwenye list 😂
 
Back
Top Bottom