Happy Birthday Diego Armando Maradona!!


DesertStorm

DesertStorm

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Messages
2,059
Likes
1,211
Points
280
DesertStorm

DesertStorm

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2015
2,059 1,211 280
20171030_172224-png.620689


Personal information

Full name Diego Armando Maradona[note 1]
Date of birth 30 October 1960 (age 56)
Place of birth Lanús, Buenos Aires, Argentina
Playing position Attacking midfielder
Second striker[2][3][4][5]FIFA Player of the Century was a one-off award created by FIFA to decide the greatest football player of the 20th century, announced at the annual FIFA World gala, held in Rome on 11 December 2000.[1]Diego Maradona and Pele were joint winners of the award.[2][3] Maradona won the award based on the Internet poll, while Pelé won the award based on votes from FIFA officials, journalists and coaches.[2][3]

Maradona ni “Mwanasoka bora wa muda wote” wa Shirikisho la Kandanda la Dunia (FIFA). Alishinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Karne iliyofanyika kwa uwazi mwaka 1999 na kumtupilia mbali mchezaji wa Kandanda Duniani, Pelé.


Mchuano huo uliendeshwa na mtandao rasmi wa FIFA, jarida la shirikisho hilo na mfumo wa kisheria. Maradona Alikusanya asilimia 53.6 akifuatiwa na Pelé aliyepata asilimia 18.53 tu kati ya kura zote zilizopigwa.
 
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
7,541
Likes
8,447
Points
280
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2015
7,541 8,447 280
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Diego Armando Maradona
Jamaa walivurugikiwa kwa ajili yake wakaanzisha kanisa nae akawa mungu wa hilo kanisa. Huko kwao na walikuwa na waumini kama 200000 na sheria muumini lazima jina la kati liwe Diego
 

Forum statistics

Threads 1,238,326
Members 475,877
Posts 29,316,229