stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Happy birthday Passion Lady....Uwe na maisha marefu yenye mafanikio tele.
Mapenzi tele kwako
​asante sana mdada!!happy birthday mungu akujalie maisha marefu
Happy Birthday Passion Lady. Leo keki inaliwa wapi hapa chuga?
asante sana my lovely daughter!!
wpi zawadi!!
​asante sana bestHappy birthday mtajwa hapo juu!! Maisha marefu na yenye furaha.
Happy birthday Passion Lady, may God bless you with WISDOM!
Thank you Mrs Ntuzu ( ladyfurahia ) for the information!
asante best,umeadimika sanaHeri ya kuzaliwa mkuu..
Happy Birthday ....uishi miaka mirefu ya mafanikio tele
Happy birthday Passion Lady, may God bless you with WISDOM!
Thank you Mrs Ntuzu ( ladyfurahia ) for the information!
Heri ya kuzaliwa Passion Lady uwe na afya tele
asante saaaanaaa best
tumepishana cku ngapi vile?
Heri ya kuzaliwa Passion Lady nakutakia maisha marefu na furaha mpendwa
​thanx much stata mzuka!!HBD dada and Liv Long Passion Lady
​asante sana mpnz!!Happy birthday mumie.
Tumepishana siku 3 tu! Hadi raha yani!!??
​mi mwenyewe nmepata mshangazo!!