Happy birthday bakulutu

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari wanajamvi wote wa humu ndani ya chitchat

Katika majira na nyakati tusizodhani, na yale majira ya kiangazi ubaridi na upepo ulivyovuma kaskazi na kusini. Familia ya Bakulutu kutokewa na muujiza wa ajabu na wenye kushangaza, pale ambapo mama yake alipolia na kufurahi alipokuwa hispitalini pindi amuanapo mtoto akitokea duniani kwa mbali na kuiona dunia hii, ilikuwa siku ya furaha, nderemo na kicheko kikubwa sana katika familia hii kwani kitoto kichanga kikatokea duniani huku kikilia kwa furaha kwa kuona DUNIA hii, ACHA Nasi wanajamii tufurahi na kuenjoy na kucelebrate na mtoto huyu aliyetokea duniani hii leo. tukumbuke kwa pamoja siku ya KUZALIWA KWA BAKULUTU. Nami namtakia maisha marefu yenye afya njema na na wingi wa siku nyingi duniani Mungu amjalie kila la kheri na fanaka hapa duniani. Nawe mwana jf Usisite kwenda leo kwao kumpelekea zawadi za manemane, pipi, pampers na vitoi mtoto huyu aliyeonekana leo.

Nami nampa kitu hiki kidogo apokee kwa moyo mkunjufu:
pokea hiyo hapo:

 

Attachments

  • cake2.jpeg
    9.1 KB · Views: 100
  • KEKI EATING.jpg
    7.3 KB · Views: 47
  • candle1.jpeg
    9 KB · Views: 45
Happy birthday TWIN wangu Bakulutu.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Bakulutu! Pole kwa maswahibu ya kuchungulia kaburi mwaka jana! Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio.
 
Last edited by a moderator:
aksante wakuu...up more wote na mpuu juu kama jua...stayz blseed...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…