Happy birthday Arabela!!

umeona eeeh
tena itabidi niwalete dabodabo

yeah... Tena ujaliwe uzao kama wangu uteremshe mapacha ya nguvu (halafu bebii ujue unapacha ako wa kiume ila aliibiwa na bepari mmoja hivi alikuwa anadai eti ni mwanae bahati nzuri wewe nilkuficha maana angekubeba na wewe)
 
mhhhhhh ikawaje sasa mamii na mzee wa kaya analijua hili
 
yeah! Because he is him.... There's no reason but him........! Halafu mambo mengine ni siri ya watumishi hizo why ziishie hapohapo

ile ndoa yangu mmeifikisha wapi nyie wanakamati?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…