Happy birthday Arabela!!

Kaizer umeona ulichokfanya hapaa umeleta kesi njoo umjbu mke wa bos sasa.

hujambo bibie........ Nilipata mwaliko wenu ila nilishindwa kuhidhuria kwenye harusi yenu maana mliweka bia na mimi nimeokoka mngenitia unajisi Lol!

Cc: Mwanyasi
 
Last edited by a moderator:
Ingawa nimechelewa, lakini sitosita kufikisha salamu zangu

Heri ya siku yake ya kuja hapa ulimwenguni
 
hujambo bibie........ Nilipata mwaliko wenu ila nilishindwa kuhidhuria kwenye harusi yenu maana mliweka bia na mimi nimeokoka mngenitia unajisi Lol!

Cc: Mwanyasi

Jaman mama mweshmiwa pole, ungekuja kulikua na floo mbili wanao2mia bia walikaa ya chin na ambao hawanywi floo ya juu na kla watu na mlango wao. Heshma yako lakn.
 
Last edited by a moderator:
Jaman mama mweshmiwa pole, ungekuja kulikua na floo mbili wanao2mia bia walikaa ya chin na ambao hawanywi floo ya juu na kla watu na mlango wao. Heshma yako lakn.

jamani mbona hukunitel mapema? Haiwezekani kurewind jamani nije??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…