Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Acha kiherehere.
miss neddy, sio wewe!
haaa Karucee kusaidia kuvuruga itakuwa sawa na kukata kidole changu mwenyewe......sasa huyo mbaba Arushaone ndo kakuzuzua na yale mabasi? Lady doctor unamfahamu?
hahahaha ndo unauvunja mwenyewe kwa kula mbili mbili lol
cc------
kwa lady kwini mbali huko douta wao niko hapa kuhakikisha hadokoi mtu uchumi wangu
Piga kimya kamanda!!
Huyu OLESAIDIMU namtolea mimacho mkono ukishuka kidogo tu kiunoni kwa Arabela nang'oa nyaya za umeme!!
Kaizer itabidi unisaidie kuvuruga party. Otherwise uongee kabisa na OS ashike pole pole within limits. Bila hiyo tukubaliane niji muvuzishe kwa Arushaone🙂
hahahaha ndo unauvunja mwenyewe kwa kula mbili mbili lol
cc------
mwanangu wamekuharibia cv yako hapa ila nilikuwepo kuweka sawa maana wameniboaje?
nnahasira na wewe hadi nimejing'ata pua
ndo maana nakulavu douta wangu mlinde babaako............ tena ntakununulia manati ukimuona Karucee mlenge jichoni awe chongo
Sasa kama ndo saizi yangu?
nina mpango wa kuipunguza moja lol