Happy birthday Arabela!!

Haaa si umeenda kubadili fasta..usimpe Mwanyasi presha mapema ivi...

Wew jaman usifanye ivo ndoa changa mwenzio ujue me ni wakujstiri muda wote hyo ni kawaida yang ata mr. Analijua hlo.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Arabela japo najua Karucee and co watakuwa wanaangalia kwa karibu sana ....but this is ur day
Huyu OLESAIDIMU namtolea mimacho mkono ukishuka kidogo tu kiunoni kwa Arabela nang'oa nyaya za umeme!!
Kaizer itabidi unisaidie kuvuruga party. Otherwise uongee kabisa na OS ashike pole pole within limits. Bila hiyo tukubaliane niji muvuzishe kwa Arushaone🙂
 
Last edited by a moderator:


haaa Karucee kusaidia kuvuruga itakuwa sawa na kukata kidole changu mwenyewe......sasa huyo mbaba Arushaone ndo kakuzuzua na yale mabasi? Lady doctor unamfahamu?
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe hazibendi of mine bwana. Unamuunga mkono Kaizer wakati mi na yeye ni oil and water?

Hili halina shida na wewe mamii sababu pumziko langu ndio raha yako na mzigo anaokusaidia Arabela ndio pumziko lako kwa usiku huo!!!!!!

Mimi na wewe wote tunafaidika hapa kwa hii transaction ya usiku mmoja tu!!!!!!!


Huyo Arushaone ana bima ya maisha!!!!!??????
 
Last edited by a moderator:


By the time umeme unarudi yangu yatakuwa yeshatimia!!!!!!:hug::busu

Kata umeme mamii!!!!!Ukija waka utabaki............:doh::A S-confused1:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…