happy birthday wii
Pole shostito atarekebisha usijali... asante sana kwa birthday wish...karibu party
happy birthday dada yangu, ujue nilitaka tuunganishe sherehe harusi & birthday party.
nakumbuka ulisema zitenganishwe ili tujipe nafasi ya kufurahia zaidi, leo kama kawaida nyumbani h kwa party.
cc: dada KOKUTONA
jaman uyo knyago wif yang akmwona atakmbia.
nafurahi kwa kuzingatia makubaliano yetu.
kama nilivosema nguo hizohizo ndio nzuri.
My wii nimeshtukaa
My kaka asante sana nashkuru my wii yuko nami bega kwa bega...karibu kekihappy birthday dada yangu, ujue nilitaka tuunganishe sherehe harusi & birthday party.
nakumbuka ulisema zitenganishwe ili tujipe nafasi ya kufurahia zaidi, leo kama kawaida nyumbani h kwa party.
cc: dada KOKUTONA