Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,425
Habari za pasaka wapedwaaa pamoja na uchoyo wa mialiko ya pasaka nimekula mapochopocho kwa lazimaa...........Niende moja kwa Moja kwenye madaaaa....
Jamani Leo ni Siku ya kuzaliwa ya Isaac anatimiza miaka.............atakuja kusema mwenyewe nadhani hilo jina litakuwa si geni kwa baadhi ya watu humu.....nahisi mkiniona mtamkumbukaaa km angeniruhusu ni mtaje jina analotumia humu jf ningelitajaa ,,, ....NAKUOMBEA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE BARAKA TELE NA AMANI,,,UPATE MKE MWEMA MZAE NA WATOTO WAKAONGEZE UPENDO KWENYE NYUMBA YENUUUU