Happy Birth Day Adrian Hillary Stepp - Mdau JF

Happy Birth Day Adrian Hillary Stepp - Mdau JF

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,730
Reaction score
9,907
Wakuu Leo ni ni siku ya Kuzaliwa ADRIAN HILLARY STEPP aliekuwa EATv ambae sasa yupo AZAM Tv two.
Hope mnajua ni mdau wetu.
Chanzo cha Habari ni AZAM Two na mtoa habari ni yeye mwenyewe kwa kuimbiwa na Mtangazaji mwezie Zainab Chondo

ADRIAN Mungu akupe Maisha marefu yenye Baraka zake,akulinde na shari za dunia na huko tuendako.Akupe hekma na uvumilivu katika ukubwa(ndoa),akupe hekma za kumlea Binti yako na wanaokuja kama ulivyolelewa wewe.
Mungu akujaalie Jpili hii ukienda kanisani utoe pesa ya noti na sio Coins ili kubariki siku yako ya kuzaliwa
"AMEEEEEN"
 
Huyu jamaa kakimbili azam tv kwishiney pale eatv ndio ilikuwa mpango mzima
Hata hivyo nimtakie kheri ya kuzaliwa
Unajua kibo yule ni Kijana lazima aangalie Maslahi na bado umri wake ni under 25,sasa asipopigana hivi sasa basi kazi pevu kweli.
Good start kwake ni kwamba ameowa mapema sana,sasa hope atajipanga vizuri kimaisha na kuwa mbali na anasa.
(Mungu ailinde ndoa yake)Ameen

Chukua mfano wa Kali Ongala,alichukuliwa kama mchezaji pale Azam Club,baadae akapelekwa Uingereza kusomea ukocha kwa Gharama za Club,na kwenye Mkasi nilimsikia ataenda tena ku upgrade daraja alilonalo.
So,hope dogo akijipanga nafasi ya kijiendeleza pale ipo sana tu,akitoka pale tumsikie BBC,au DW German.

All the best and stay blessed Adrian
 
ADRIAN tangia umeamia Azam umepoa sana makeke yako vile hafu yule mtangazaji wa kiume hupenda kuongea sana bila kuwapa nyie chance muongee utafikiri kipindi yuko pekee ake
 
Last edited by a moderator:
ADRIAN tangia umeamia Azam umepoa sana makeke yako vile hafu yule mtangazaji wa kiume hupenda kuongea sana bila kuwapa nyie chance muongee utafikiri kipindi yuko pekee ake

Ha haha..I hope umemaanisha yule "Wakike" na si kama ulivyo andika..yeah umri umeenda lazima tutulie kidogo..Lol!
 
Wakuu Leo ni ni siku ya Kuzaliwa ADRIAN HILLARY STEPP aliekuwa EATv ambae sasa yupo AZAM Tv two.
Hope mnajua ni mdau wetu.
Chanzo cha Habari ni AZAM Two na mtoa habari ni yeye mwenyewe kwa kuimbiwa na Mtangazaji mwezie Zainab Chondo

ADRIAN Mungu akupe Maisha marefu yenye Baraka zake,akulinde na shari za dunia na huko tuendako.Akupe hekma na uvumilivu katika ukubwa(ndoa),akupe hekma za kumlea Binti yako na wanaokuja kama ulivyolelewa wewe.
Mungu akujaalie Jpili hii ukienda kanisani utoe pesa ya noti na sio Coins ili kubariki siku yako ya kuzaliwa
"AMEEEEEN"

M.A.P Adrian Stepp
 
Screenshot_20250411_075652_Facebook.jpg

RIP Adrian
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom