ahsanteni,Mr&Mrs... Filipo,i doubt kwamba nakufahamu,,,still investigating....humu JF wapo kaka zangu wa3 na dingi,na wote hawasemi wala kutoa ID zao,ndo maana nimetulia sana sikuhizi,,,atleast wamenifanya nikue.
Me wananikera.
Kwanini na wao wasi-design majina yao mpaka waibe Idea kwetu?
Afu huyu Madam B [MENTION=80055][/MENTION] feki namtafuta sana,nikimkamata...
asante sana,na nilivyo na vimiguu vidogo sijui kama zitanitosha...ntamtumia Trey Songz,na yeye kazaliwa leo...yeye zitamfaa zaidi.....nishonee chupi ya mikono mirefu ya kitenge,kiuno size 38Happy Birthday mkuu snochet,nimekuandalia zawadi ya socks za kitenge.
Wachina wameingia mpaka kwenye ID za Jf?ongea na mzizi mkavu can fix them wote wageuke kuwa brush la chooni.