*badilisha*Apana nilibadirisha..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hahahahaha hawa ni wa shida. Wa raha hawapo huku!!Ngoja uishiwe boss wangu utawaona hawa ndugu. Ndukiiiii
Nipo mkuu..
Cute b andika vizuri ukishaanza kuongea habari ya kuzama watu wataanza kuvusha hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah ndugu zako wananifunza vibaya*badilisha*
Hiyo lafudhi umeianza lini?
Ile siku ulivyokuja ofisini secretary wangu akakuzuia kuingia? Ukapita ukamwagiwa maji?Hivi paaaal hii si ndio ileeeee??
Usiwaambie kama mimi nimesema hivyooooHahahahaha hawa ni wa shida. Wa raha hawapo huku!!nimecheka sana tena kwa sauti.
Usijefanya visa mm nina wivu...
Asante kamanda..Nipo mkuu..
Hri ya mwaka mpya mkuu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sawa sawa😀😀😀😀Ile siku ulivyokuja ofisini secretary wangu akakuzuia kuingia? Ukapita ukamwagiwa maji?
Ndiyooo!
Amina bro..
Si unajua mchaga mbele ya hela hashindwi kusema amezaliwa miaka 2000 iliyopita?Teh teh..40..Kwamba ww ulizaliwa kabla ya dada yako??..Acha usanii..Vifuniko njoo uchukue shem..Uje na rafiki yako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kule barca hayupo? Itakuwa andunje Mess ameshaanza kumwangusha.Kwakweli umefukua mtu ha ha haaa sijamuona mda sanaa ila vijana hawa huenda tunao humu humu wanatuchora tu
Nitakushitaki kwa Khantwe.Napenda sana.. nawe wanitesea hapo
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Basi saa mbili uje. Uwe makini usikabwe.
Hahahahhahahah itakuwa kuzama wapi vile....?Cute b andika vizuri ukishaanza kuongea habari ya kuzama watu wataanza kuvusha hapa
Sent using Jamii Forums mobile app