Teh teh..40..Kwamba ww ulizaliwa kabla ya dada yako??..Acha usanii..Vifuniko njoo uchukue shem..Uje na rafiki yako..Hahahhahahahhaa shemeji.
Asante sana Kaboom idadi ya miaka ni 40 kila mwaka 20,000 tuu. Mimi siyo wa bei Kali.
Usinijaze manoti tuu niite na dukani nichague
Kwakweli umefukua mtu ha ha haaa sijamuona mda sanaa ila vijana hawa huenda tunao humu humu wanatuchora tu
Thank you my brother.Happy Birthday to you.
How is it this day! You could have chosen another day and let this stand for your niece only.
Love you.
Huu msemo unaupendaWajua natamani
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Napenda sana.. nawe wanitesea hapoHuu msemo unaupenda.
Sawa nitakuja baadaeYaaah situmii
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mia mia broSawa nitakuja baadae
Unaogopa kuzama? Kuna life jackets.
Hua napata wivu adi naumuka kama unga wa kukanda chapat
Yaani huwa sitaki mazoea na maji kabisa..Unaogopa kuzama? Kuna life jackets.
Mimi mwenyewe ilibidi nimfuate pm anitafsirie
Mkuu..Chaja ya kobe...
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Cute b andika vizuri ukishaanza kuongea habari ya kuzama watu wataanza kuvusha hapaUnaogopa kuzama? Kuna life jackets.
Kwani unateseka na nini babyHua napata wivu adi naumuka kama unga wa kukanda chapat
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
I know! Thank you in advanceWill forever be there for you!
Am off
Kama amekwambia yuko singo basi endelea kitakachokupata mi simo