Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,277 May 31, 2015 #41 Denzel Washington, Born: December 28, 1954 (age 60), Mount Vernon, NY Spouse: Pauletta Pearson Washington (m. 1983)
Denzel Washington, Born: December 28, 1954 (age 60), Mount Vernon, NY Spouse: Pauletta Pearson Washington (m. 1983)
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 May 31, 2015 #43 Ana mwili mtamu loh Bado anadai kabisa
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,405 Reaction score 6,920 Jun 13, 2015 #44 mwangalieni pia kwenye Huricane
John locke JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 837 Reaction score 1,290 Jun 13, 2015 #45 Jana nlikuwa naangalia movie yake ya The Hurricane...mpaka machozi yalinitoka. Inasemekana alifanya training ya boxing mwaka mzima akijiandaa na hiyo movie.
Jana nlikuwa naangalia movie yake ya The Hurricane...mpaka machozi yalinitoka. Inasemekana alifanya training ya boxing mwaka mzima akijiandaa na hiyo movie.