Hapo Zamani za Kale

charles mususa

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
297
145
Hapo zamani za kale watu walikutana wamchague kiongozi wao
walitaka kiongozi wao awe mtu wa ajabu, nao walianisha sifa za koingozi wao.

1.Awashinde wote kwa urefu
2.Awashinde wote kwa ufupi
3.Awashinde wote kwa akili
4.Awashinde wote kwa nguvu
5.Awashinde wote kwa majivuno
6.Awashinde wote kwa uzuri
7.Awashinde wote kwa hekima
8.Awashinde wote kwa uchawi
9.Awashinde wote kwa kuropoka
10.Awashinde wote kwa vitisho
11.Awashinde wote kwa wembamba
12 Awashinde wote unene
13.Awashinde wote kwa misimamo
14.Awashinde wote kwa upole na kuwapenda watu wake
15.Awashinde wote kwa kuwaomba watu wamuombee kwa Mungu

Nilikuwa naota nilisoma mwaka 1977 darasa lapili
 
Na hakika walimpata na anamikono mirefu. Hakika atakufikia popote ulipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom