Nubian Ancient JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 958 Reaction score 1,182 Apr 3, 2020 #1 Huko mjini Los Angels nchini Marekani, miaka ya 1930, bwana mmoja ambaye hakufahamika jina alionekana akisimamishwa na askari wa usalama barabarani kwa kosa kuendesha kwa kasi kubwa, mkokoteni wake unaovutwa na Mbuni. #History Is Great#
Huko mjini Los Angels nchini Marekani, miaka ya 1930, bwana mmoja ambaye hakufahamika jina alionekana akisimamishwa na askari wa usalama barabarani kwa kosa kuendesha kwa kasi kubwa, mkokoteni wake unaovutwa na Mbuni. #History Is Great#
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,009 Reaction score 17,457 Apr 3, 2020 #2 The land of the free and the home of the brave! Huu ndo msemo wa wamarekani!
T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 13,298 Reaction score 44,765 Apr 3, 2020 #3 Picha nzuri sana hii