Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,080
- 27,507
Daah, noted mkuuMkuu hiyo mbona imekaa sehemu ambayo inaonekana sana.
Inategemea na model mkuu, nenda pale tanganyika arms kwa info zaidihivi zinauzwa bei ngapi hizi bongo??
shukrani mkuuInategemea na model mkuu, nenda pale tanganyika arms kwa info zaidi
Hapo umeiweka kihasara sana kuchukuliwa ni rahisi sana kwanza haitakiwi ionekane huo ni ulimbukeni sisi tumezichoka kubeba kila saa wewe ndo unaona kitu cha maaana
[emoji39] [emoji39]kutishiana tu aman kuna w2 humu wanamiliki mpk AK47
Hiyo ameiweka sehem mbaya hata akiwa na ugomvi na mkewe ni rahisi mkewe kuitoa hiyo inawekwa sehem ambaya hata ikitokea ajali ni ngumu kuonekanaHapo sawa.. Hiyo ndio nzur katka 38 unaweza jibu ata 10
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nissan nyeupe zimeamuliwa mwaka huu kwa style hio....